asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Related Posts
To our sisters leo want to ask you this question hivi….. “what would you do if you start arguing with Continue Reading..
Kwa nini ulikubali myanyako aolewe na babu yako .naunajua wote ni wazee.umestakia kuruhusu hawa watu wawili hapa kituo cha.jongo love. Continue Reading..
Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali
Na venye mm n bachelor nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;” Marehemu alizaliwa akazurura akafa”
Kupenda usipende sanaaaa chukulia umempenda sana mwanamke halafu anakuwekea limbwata unafikiri utakuwa kwenye hali gani
Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge