Mimi natoka Murang’a….mwalimu wetu aliniuliza, wazimu ,how do you call mosquitoes in ur language? Nikasema we dont call them, they come by themselves..akaniambia sitaenda mbali na sahii nko naivasha…….. Nataka nifike eldoret nimpigie simu nimwambie niko mbali sana 😂
Related Posts
Na hats uwe unapenda vipi Kumenya viungo vya mboga Lakini huwezi kumenya pilipili au bamia”
MIMI KAMA SIMU YAKO Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel Continue Reading..
Dactari akioa nurse wanaweza zaa mgonjwa ?
Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!
Hii upuzi ya unauliza dame 😂 hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini why🥴
Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂
Munakumbuka lucky dube akiimba,there will be no schools anymore mukadhania ni banging
Kama huna pesa punguza kitambi we are tired of respecting wrong people
