Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Related Posts
Dame:Babe nko na ball Boyie:leta tucheze futa atleast tufanye maexercise Dame:si ivo😊nko nimebemba Boyie:Nini tena?… Umechoka nikusaidaie… Dame:Nkt😅acha kujifanya huelewi Continue Reading..
Sio sigara tu hata ukiwa na mwanamke msumbufu ni hatari kwa afya yako
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya Continue Reading..
Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself 😂😂😂😂campus life
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
In every man’s life kunakuaga na dem kila mtu huassume mshakulana na hamjawai 😌 Alafu kunakuaga na dem mshakulana lakini Continue Reading..
WELCOME TO KENYA Where people leave as they return “acha niende ivi nakam”…. Where the husband huitwa baby and the Continue Reading..
Babangu ameniita akaniuliza mjulus ni nini nikamwambia ni kijana, Sasa anashinda akiniita mjulus yangu
