Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. . 😂
Related Posts
karibu kenya place unabuy maziwa imelala 35 while fresh 20 bob
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣 Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Continue Reading..
Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????
Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 Continue Reading..
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi kuzungumza kwanza? Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
January imefika wale shamba boy mulikwa ushago mwende Nairobi kufiyeka mboma zatu huko Una enjoy girl friend wako beb Niko Continue Reading..
*Kuna cousin yangu amepata 50 out of 500. KCPE. Tunangojea alale tuhame.* Sa hii tuko maombi kwao. Huyu amaweka family Continue Reading..
