Ati dem wako anaforce issue kaa msee wa curfew😂😂😂
Related Posts
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa😲🤣😋😋😋🤔😁
Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau
Ushai chunwa kinyambio na mgenge😂😂😂😂😃
I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜
In your last relationship, ulikuwa impeached, ulistep down ama uliangushwa na external forces?
Kwa nini ulikubali myanyako aolewe na babu yako .naunajua wote ni wazee.umestakia kuruhusu hawa watu wawili hapa kituo cha.jongo love. Continue Reading..
Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 Continue Reading..
