Ushawahi gongewa mlango kwa nguvu ukinyanduana na bae alafu kuenda kufungua unapata ni ule jirani mtiaji amekuja kukuomba chumvi
Related Posts
Hii ngozi enye Mungu alitumia kutengenezea magoti nashuku ni same na ile alitumia kutengenezea makende. Hizi ngozi mbili zinafanana sana… Continue Reading..
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂
Ukila raha andaa tumbo la kula shida Ipo siku swala atamla simba
Ushawahi potea njia unajipata kwa boma kwa MTU, inabidi uombe maji ya kunywa…
Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau
Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Ushahi argue na mutu alafu anakushow Sasa unataka kulia 😂😂😂😂😂😥💔 Walai hio kitu hainaga cameback
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
