em wangu aliniambia ka ninataka Mapenzi nitumia number Bluutooth
Related Posts
Kuna dem aliniita home kwake akasema anataka nyama kwa nyama. Nikamwambia cna doo labda ugali kwa mayai. Bado ajatext back Continue Reading..
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa 😀😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..
Back in high school, I was very poor in maths during exams nilikua napata Kati ya 4% na 10%🙈. The Continue Reading..
Him: hae Her:moglobin Him: wacha hizo ww Her:zipi….unasemaje Him:unaitwa? Her:mzimu…uko nalaziada Him:Thai…Dina 😂😂😂😅
Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
