Demu:babe leo bata wap??
Boy:kwani wewe unataka tukale wap???
Demu:nataka tukale kwa hotel kubwa
Boy:acha ufala leo bata kwani uja waona kwenye banda lao wanakula ๐๐๐๐๐
Ile time ume nyandua fame na ngori ya kidogii afu utabike after a few minutes unaskiaga fame aki shuta na Continue Reading..
Hii ngozi enye Mungu alitumia kutengenezea magoti nashuku ni same na ile alitumia kutengenezea makende. Hizi ngozi mbili zinafanana sana… Continue Reading..
Zamani watu wenye pesa nyingi ndo walikuwa wanatafuta wanawake wazuri, but now days wanawake ndo wanatafuta watu wenye pesa… Maisha Continue Reading..
Ukila raha andaa tumbo la kula shida Ipo siku swala atamla simba
Ww sherekea kukaa nyumbani na next yr uko form 4 seoson 2 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????