Demu:babe leo bata wap??
Boy:kwani wewe unataka tukale wap???
Demu:nataka tukale kwa hotel kubwa
Boy:acha ufala leo bata kwani uja waona kwenye banda lao wanakula ๐๐๐๐๐
Related Posts
Ile day utaenda chemist ๐kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje๐ฎ๐ญ๐ญ
Corona ilifanya poa ku kam 2020. Ingekam kitu 2006.. Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya Continue Reading..
Ile time dryspell zimeku zidy afu mnakuaga na mboch mokorino ๐๐๐๐๐๐๐๐
Ata ukiskia hawa watoto wa shule wamewekwa mimba sijui ngapi ,hii kitu Kuna mahali inafikanga inakosa break
Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title
Ati nyinyi ni wengi hadi mama anapiga chapo moja alafu zingine zinawekwa photocopy
Sijai sikia mganga anatibu nguvu za kike kwani wanawake wote mko sawa