Mwanamke mpumbavu,hubomoa Nyumba yake mweye,mwerevu hujenga
Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
This is a spirit click on doubts yeah targeted Heewaa ???
akil ni nyele kila mtu ana zake
tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea English but hawatakagi kwambiwa hawajui
maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *