Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea English but hawatakagi kwambiwa hawajui
Furaha yngu nimuonapo ana smile
Mungu yu mwema kwangu sijui kwako
Uko wapi we minagawa pesa sahizi
akil ni nyele kila mtu ana zake
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Kama ukijua kua MTU ni watu maana MTU peke hawezi akaishi kamwe
Mwanamke mpumbavu,hubomoa Nyumba yake mweye,mwerevu hujenga
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *