Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Related Posts
Dame : konda hii belt haiingii Konda : paka mate iteleze 🤣🤣🤣
Ma sister, imagine walking in heaven and all the kids you aborted be like: “Jesu nangu lo”
Dactari akioa nurse wanaweza zaa mgonjwa ?
Ushahi argue na mutu alafu anakushow Sasa unataka kulia 😂😂😂😂😂😥💔 Walai hio kitu hainaga cameback
Her: Yoyaah Arfoza Meh: Yoyaah Her: Manjet Meh: Man ni mtu na jet ni ndege One word for Arfoza
Hata uwe na haraka kiasi gani…,lazima matako itabaki nyuma
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya Continue Reading..
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi kuzungumza kwanza? Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
