Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021😏😏😏
In your last relationship, ulikuwa impeached, ulistep down ama uliangushwa na external forces?
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..
Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 Continue Reading..