Fuck maze, ile time umejipata maudenki zimekukaza then kufika kwa choo unapata kuna ninja ili kunia juu bt kulingana navile umekazwa inabidi uingine,,, then ukiwa ndani kimsee kinakam afu kinaamua kungoja utoke… Coz hauwezi taka aone hio shonde asikushuku ww unamua kutumia gazeti yako kupanguza hio shonde we unabaki hivyo
Related Posts
Kombowa wakati usilale hamka usilemahe Ufalume wa mbinguni hupatikana kwabiddi sana usihishi bila kukosa lengo mahishani mwako
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ? Hii kitu inanikula kichwa sana
Na hats uwe unapenda vipi Kumenya viungo vya mboga Lakini huwezi kumenya pilipili au bamia”
Siasa ni kama ndoa, ikuvunjika wengi ulia sana
Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi” A drunk man Continue Reading..
Mapenzi yanaweza kukupa stress hadi mama ako akikuuliza what is wrong. …… unaeza mjibu Mama we bado mdogo huezi elewa
Aahahaha ujinga n kubuy kiberitti tano n kujaribu k zote zina waka
Wakati wowote mkia hautikisi ngo, mbe,ng,ombe ndo hutikisa mkia
