Some ladies will be there like..”I have inner beauty” my sister, kwani wewe ni mutura
Related Posts
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya Continue Reading..
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini
Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni
Kwa nini ulikubali myanyako aolewe na babu yako .naunajua wote ni wazee.umestakia kuruhusu hawa watu wawili hapa kituo cha.jongo love. Continue Reading..
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
January imefika wale shamba boy mulikwa ushago mwende Nairobi kufiyeka mboma zatu huko Una enjoy girl friend wako beb Niko Continue Reading..
Zamani watu wenye pesa nyingi ndo walikuwa wanatafuta wanawake wazuri, but now days wanawake ndo wanatafuta watu wenye pesa… Maisha Continue Reading..
Ushawai kuwa single for so long Hadi unashangaa kwani ribs yako moja ilitumika kupika supu ama Nini