Mwanamke mpumbavu,hubomoa Nyumba yake mweye,mwerevu hujenga
Ukitaka ukwel ulizia kiundan zaidi love is poison true or false
MSHINDI kwa damu ya Yesu.kila Aaminiye na kubatizwa ameokoka.
Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Mungu yu mwema kwangu sijui kwako
Mbaullah anavituko sana anapenda kuwa mkweli hapendagi uwongo hivyo ndivyo vituko vyake
naangalia maisha yangu siangalii mtu but nawapenda wote
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *