Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi
kuzungumza kwanza?
Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
Related Posts
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..
Siasa ni kama ndoa, ikuvunjika wengi ulia sana
penda anae kupenda asiye kupenda achana nae
Ushahi argue na mutu alafu anakushow Sasa unataka kulia 😂😂😂😂😂😥💔 Walai hio kitu hainaga cameback
Ujinga nini? Ujinga ni pale napotoa 1 million kama mahari! Wakati aliyetoa bikra! Katulia hukoooo!
Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know
Msichana mrembo lakini akinyamba Maiti Inageuza kichwa🤣🤣🤣🤣🤣
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza