Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself campus life
Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Her: Yoyaah Arfoza Meh: Yoyaah Her: Manjet Meh: Man ni mtu na jet ni ndege One word for Arfoza
Eti ukiambia dem mkamba anadai umletee surprise gani anakushw umletee maji
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..
Uzuri wa kunyonga monkey unaweza adjust iwe tight ama mtaro!! Vile unataka
Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia “tenda kawaida, huna hatia”