Nimepoteza uoni kwani sion tena kitu kwenye wallet
Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. Continue Reading..
Her:Beb ulisema utanipeleka tour? Joker smoker: Apana nilisema Twa Twa😂
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa 😀😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na Continue Reading..
Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho Continue Reading..
Cjai ona ugonjwa mbaya kma ujinga aina tiba Tina ni kibao
In your last relationship, ulikuwa impeached, ulistep down ama uliangushwa na external forces?