Kama nilikuudhi mwaka huu , kumbuka mwakani ni palepale sikufugi😂😂
Related Posts
Unataka kucheza n ingali umesimama Aaaaah inama inama
Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics Continue Reading..
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ? Hii kitu inanikula kichwa sana
Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi kuzungumza kwanza? Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!
Hata uwe msafi vipi ukitaka kujamba huwezi vua nguo
