Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,,
inasemekana uwa nakula kama nmelala.
Related Posts
To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣 Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Continue Reading..
nimeiba kipimo cha mimba hosiptli nkajuwa ni flashi 🤣🤣🤣🤣🤣
Ushai chunwa kinyambio na mgenge😂😂😂😂😃
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta
Maisha ni siri Nan wakuifichua??? 🤔🤔🤔🤔
Hanna kitu kibay kam kusengenyana na mamb mazuri ni kama urafiki
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..