Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????
Related Posts
Mko kwenye sensa mara wakala anauliza mama una g’ombe hapa na mama anaanza kukuangalia wewe
Oyaa oyaa m uneza niita kwako ama mbogi ya xhivakala
Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge 😂😂
MIMI KAMA SIMU YAKO Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel Continue Reading..
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Munakumbuka lucky dube akiimba,there will be no schools anymore mukadhania ni banging
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
