Ushai chunwa kinyambio na mgenge
Dactari akioa nurse wanaweza zaa mgonjwa ?
Sis:I was at UKZN n thy said thy are still pending, what do thy mean ?? Me: sisi thy mean Continue Reading..
Day flani tukiwa chuo beste yangu amekam amenipata nje ya dinning hall nmetulia alafu akanisho hivi. Yeye: niaje bro c Continue Reading..
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa
Munakumbuka lucky dube akiimba,there will be no schools anymore mukadhania ni banging
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa
Msichana mrembo lakini akinyamba Maiti Inageuza kichwa
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *