Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa tumefka ndo nliuawa”manze apo ndo utajua hujui😁😁😁😁😁😁
Related Posts
Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi” A drunk man Continue Reading..
Siasa ni kama ndoa, ikuvunjika wengi ulia sana
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Yanga yeti inapiga moja moja kama mgonjwa wa kisukali asanteni simba kwa kurejedha heshima ya wanaume
Hii ngozi enye Mungu alitumia kutengenezea magoti nashuku ni same na ile alitumia kutengenezea makende. Hizi ngozi mbili zinafanana sana… Continue Reading..
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
