Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Related Posts
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini
Mpende akupendae, asiye kupenda mlazimishe akikataa mroge
Eti nikifa nikazikwe singida👌👌 uliacha nauli kwani😆😂🤣🤣😂😂🤣🤣
ushawai kula kitu tamu hadi ukikumbuka unaanza kulamba vidole?? Mimi cjawai ?😂
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ? Hii kitu inanikula kichwa sana
Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi” A drunk man Continue Reading..
Ati nyinyi ni wengi hadi mama anapiga chapo moja alafu zingine zinawekwa photocopy
