Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
Related Posts
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni
Unataka kucheza n ingali umesimama Aaaaah inama inama
Kuna dem aliniita home kwake akasema anataka nyama kwa nyama. Nikamwambia cna doo labda ugali kwa mayai. Bado ajatext back Continue Reading..
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
Ushai chunwa kinyambio na mgenge😂😂😂😂😃
Unaninyamazia unafikiria ntakumiss unashtuka nilikusahau 😂😂😂💔💔
To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣 Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Continue Reading..
