Kupenda usipende sanaaaa chukulia umempenda sana mwanamke halafu anakuwekea limbwata unafikiri utakuwa kwenye hali gani
Related Posts
Nilieka face unlock kwa simu alafu kujaribu na sura ya ngombe shags ikaitikia. Ebunidoscribeπππ
Bak in skull ukiwa Dom…. we Zima stima tulale unaskia wazimu mwngne ukilala class ulkuwa umezima stima
Hakika umefanyika bubujiko la nafsi yangu na kunifanya kuwa wakipekee kwako also all in all when i’m feel in love Continue Reading..
Mato niki refu kuliko mutura ya soko mjinga itabidi apuguzwe na rungu ya masaai
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
Unaninyamazia unafikiria ntakumiss unashtuka nilikusahau πππππ
Ukila raha andaa tumbo la kula shida Ipo siku swala atamla simba
Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jiniπππ