Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba
Related Posts
Tusikizane vizuri,,, haikua kupenda kwangu kuishi Kwa nyumba ya mabati, ukikuja kwangu sio lazima ubishe mabati,🙄🙄🙄🙄😏😏😏 bisha Tu mlango ntakuskia Continue Reading..
ushawai kula kitu tamu hadi ukikumbuka unaanza kulamba vidole?? Mimi cjawai ?😂
Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!
Ukila raha andaa tumbo la kula shida Ipo siku swala atamla simba
Nimepoteza uoni kwani sion tena kitu kwenye wallet
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Yanga yeti inapiga moja moja kama mgonjwa wa kisukali asanteni simba kwa kurejedha heshima ya wanaume
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
