Corona ilifanya poa ku kam 2020.
Ingekam kitu 2006..
Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata
Related Posts
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Mzee alikuwa anaomba Mungu kwa bedroom na kiingereza “Thank you for Mercy, Thank you for Joy, Thank you for Grace, Continue Reading..
Mimi natoka Murang’a….mwalimu wetu aliniuliza, wazimu ,how do you call mosquitoes in ur language? Nikasema we dont call them, they Continue Reading..
Kupenda usipende sanaaaa chukulia umempenda sana mwanamke halafu anakuwekea limbwata unafikiri utakuwa kwenye hali gani
Mapenzi yanaweza kukupa stress hadi mama ako akikuuliza what is wrong. …… unaeza mjibu Mama we bado mdogo huezi elewa
Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics Continue Reading..