To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭
Related Posts
Sometimes I really wonder, tulikiwa tunasoma kunyume ya nini ?
Sio sigara tu hata ukiwa na mwanamke msumbufu ni hatari kwa afya yako
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha kwa wazazi wake. Alipofika tu baba yake akagundua dosari maana mvulana alikuwa mweusi Continue Reading..
Babangu ameniita akaniuliza mjulus ni nini nikamwambia ni kijana, Sasa anashinda akiniita mjulus yangu
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
My future wife si uje ama nifungue butchery na hizi ngombe za dowry
Oyaa oyaa m uneza niita kwako ama mbogi ya xhivakala