akil ni nyele kila mtu ana zake
Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea English but hawatakagi kwambiwa hawajui
naangalia maisha yangu siangalii mtu but nawapenda wote
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako
Usitake Leo iwe historia Ila acha historia Itakapofikia kuwa historia
Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
At I. Nyanyayako amezeeka had I akipiga miayo inalia kama mlango.
Furaha yngu nimuonapo ana smile
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *