Furaha yngu nimuonapo ana smile
Maisha ni safari ndefu mnoo Ainaga kipimo ata siku moja Tunachopaswa kufanya ni Kutokukata tamaa ktk kila jambo.
akil ni nyele kila mtu ana zake
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako
This is a spirit click on doubts yeah targeted Heewaa ???
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Mbaullah anavituko sana anapenda kuwa mkweli hapendagi uwongo hivyo ndivyo vituko vyake
naangalia maisha yangu siangalii mtu but nawapenda wote
tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *