Kama Adam na Eva walikula 🍎 apple kishe nimagum hivi je wangukula pilipili kichaaaa?
Related Posts
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa😲🤣😋😋😋🤔😁
mtoto aliagizwa hela ya mlinzi na mwalimu akaenda kumweleza baba ake, baba akamjibu kamweleze mwalimu yesu ndio mlinzi mkuu aache Continue Reading..
Kujulikana na mother in-law Si kuolewa,, ulizeni ex wangu😂😂😂😂
Imagine tufike mbinguni halafu tupate kukula cuzo haikua Dhabi!!
Dame : konda hii belt haiingii Konda : paka mate iteleze 🤣🤣🤣
umewahi kasiliswa na mpango wa kando hadi ukataka kambia wife?
Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Form fours are like posting *”stress is over”*😂tuwaambie ukweli ama tuwaache wapumzike😂
