Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
Related Posts
Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
Wanaume wa Siku hizi ni vigumu kuwatambua na makalio za wanawake za kila rangi now dayz ni zilipendwa
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ? Hii kitu inanikula kichwa sana
Ushawai kuwa single for so long Hadi unashangaa kwani ribs yako moja ilitumika kupika supu ama Nini🤣
em wangu aliniambia ka ninataka Mapenzi nitumia number Bluutooth
Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know
Siasa ni kama ndoa, ikuvunjika wengi ulia sana
Oyaa oyaa m uneza niita kwako ama mbogi ya xhivakala
