Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa
😀😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Related Posts
Him: hae Her:moglobin Him: wacha hizo ww Her:zipi….unasemaje Him:unaitwa? Her:mzimu…uko nalaziada Him:Thai…Dina 😂😂😂😅
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Kupenda asiye kupenda ni sawa na kungoja meli Kwa uwanja wa ndege
karibu kenya place unabuy maziwa imelala 35 while fresh 20 bob
Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,, inasemekana uwa nakula kama nmelala.
Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
In every man’s life kunakuaga na dem kila mtu huassume mshakulana na hamjawai 😌 Alafu kunakuaga na dem mshakulana lakini Continue Reading..