Madem wengi kasi ya n ya kufilter picha wapost kwa status na hawakumbuki lika yao inaelekeakumalisha ulezi
Related Posts
Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself 😂😂😂😂campus life
Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba
Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge 😂😂
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa😲🤣😋😋😋🤔😁
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa 😀😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ushawai kuwa single for so long Hadi unashangaa kwani ribs yako moja ilitumika kupika supu ama Nini🤣
Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
