Siasa ni kama ndoa, ikuvunjika wengi ulia sana
karibu kenya place unabuy maziwa imelala 35 while fresh 20 bob
Some ladies will be there like..”I have inner beauty” my sister, kwani wewe ni mutura☹
Pain ya go nyesa ke mjolo kwa yeno o na le gate ya maotwana
Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
*Girl;* babe leo hakuna magari nalala kwa beshte yangu nikam kesho🙂 *boy;* poa hun, hata monica beshte yako ako hapa Continue Reading..
Nmeona niende kwa mama mkwe nikaulize juu nimeona mtoto wake amekua sio mtamu tena sa hii…
Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????
Mzee alikuwa anaomba Mungu kwa bedroom na kiingereza “Thank you for Mercy, Thank you for Joy, Thank you for Grace, Continue Reading..
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *