Mdomo not kubwa..chapati waikunjia nini?
Related Posts
Kati ya hizi mbili ni gani ya aibu: 1.Kupatwa Ukijipima viatu za mgeni. 2.mgeni akipatwa akiongezea maji ya ugali. 😂😂
Kama Adam na Eva walikula 🍎 apple kishe nimagum hivi je wangukula pilipili kichaaaa?
Si kampuni ya makeup i strike ndo tujue Wanaume niwangapi hii Kenya
Ushawahi potea njia unajipata kwa boma kwa MTU, inabidi uombe maji ya kunywa…
Nmeona niende kwa mama mkwe nikaulize juu nimeona mtoto wake amekua sio mtamu tena sa hii…
Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
Nilieka face unlock kwa simu alafu kujaribu na sura ya ngombe shags ikaitikia. Ebunidoscribe😂😂😁
