Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
Related Posts
Unaninyamazia unafikiria ntakumiss unashtuka nilikusahau 😂😂😂💔💔
Unakumbuka ukianza insha na…. Katika Kijiji kimoja paliondokea mtu mmoja masikini hoehae… Ona sahii we ndio huyo masikini😂😂😂 *What goes Continue Reading..
Kupenda asiye kupenda ni sawa na kungoja meli Kwa uwanja wa ndege
Mdomo not kubwa..chapati waikunjia nini?
Wanaume wa Siku hizi ni vigumu kuwatambua na makalio za wanawake za kila rangi now dayz ni zilipendwa
Demu:babe leo bata wap?? Boy:kwani wewe unataka tukale wap??? Demu:nataka tukale kwa hotel kubwa Boy:acha ufala leo bata kwani uja Continue Reading..
Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics Continue Reading..
Madem wengi kasi ya n ya kufilter picha wapost kwa status na hawakumbuki lika yao inaelekeakumalisha ulezi
