Sub Categories

Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma



Tajiri Au Masikini Wote Tuna Masaa 24⏲️Kila Siku..

Chagua Vizuri Jinsi Ya Kutumia Muda Wako…✍🏼

Na venye mm n bachelor 🤔nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;”
Marehemu alizaliwa akazurura akafa”😂😂


Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia

Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda


Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title


Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi

Yanga yeti inapiga moja moja kama mgonjwa wa kisukali asanteni simba kwa kurejedha heshima ya wanaume


Munakumbuka lucky dube akiimba,there will be no schools anymore mukadhania ni banging


Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 hatupendi ujinga


Kujulikana na mother in-law
Si kuolewa,, ulizeni ex wangu😂😂😂😂