Mdomo not kubwa..chapati waikunjia nini?
Related Posts
Kama nilikuudhi mwaka huu , kumbuka mwakani ni palepale sikufugi😂😂
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021😏😏😏
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ? Hii kitu inanikula kichwa sana
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register